Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Umande, Laikipia walilia fidia ya Sh500M kufuatia moto wa Lolldaiga; wadai mchakato si wazi

  • | TV 47
    51 views
    Duration: 4:03
    Wakazi wa Umande, Laikipia walilia mgao wa shilingi milioni 500. Wakazi wadai mchakato wa fidia haukuwa wazi. Mawakili lawamani wakidaiwa kujinufaisha. Moto wa Lolldaiga wa 2021 waacha athari za kiafya na kimazingira. Serikali ya Kenya yatakiwa kusimamia fidia kwa uwazi. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __