Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wa wizi wa magari wakamatwa Kisumu, magari 10 yapatikana

  • | Citizen TV
    14,231 views
    Duration: 2:05
    Washukiwa wawili wa wizi wa magari wamekamatwa mjini kisumu baada ya oparesheni iliyofanyika katika makao ya mmoja wao ambapo magari kumi yalipatikana. Polisi wanasema kuna mtandao mkubwa wa wizi unaolenga magari, vipuri na sehemu za magari humu nchini. Aidha mshukiwa mkuu wa wizi huo anasakwa na makachero wa DCI