Wakazi wa Bangali, Tana River wahimiza kusitisha uhasama

  • | KBC Video
    4 views

    Viongozi wa kaunti ya Tana River wanatoa wito kwa jamii kukomesha mapigano ya kijamii huko Bangali ambayo kufikia sasa yamesababisha vifo vya watu wanane. Wakiongozwa na Katibu wa Masuala ya Baraza la Mawaziri Idris Dokota na aliyekuwa Gavana wa Tana River Hussein Dado, viongozi hao walisema inasikikitisha kwa jamii ambazo zimeishi pamoja kwa amani kwa muda mrefu kuanza kuuana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive