Wakazi Wa Blue Valley Nyandarua Walalamikia Uhaba Wa Maji

  • | TV 47
    32 views

    Wakazi Wa Blue Valley Nyandarua Walalamikia Uhaba Wa Maji

    Wakazi wa Blue Valley Kaunti Ya Nyandarua wamelalamikia ukosefu wa maji safi wakilalamika kuwa wanakabiliwa na janga la uhaba wa maji.

    Wakazi hao sasa wamelazimika kusaka maji katika mto wa Gathaara wakiibua hofu kuwa kwa mara nyingi ni mchafu. Pia imebainika kuwa usambazaji wa maji hayo umetawanyika katika kampuni ya maji ya nyahururu (NYAHUWASCO) kufuatia deni la shilingi milioni 2.

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __