- 251 viewsDuration: 2:01Wakazi wa eneo la North Rift ambao wanamiliki Bunduki haramu wametakiwa kurejesha silaha hizo kabla ya muda wa msamaha uliotangazwa na serikali kukamilika. Naibu Kamishna wa Kaunti ya Mukutani, Mike Wangila, amesema machifu wanashirikiana na wananchi kutoa hamasisho ya kurejesha silaha kwa hiari.