Wakazi wa eneo la Kajiado kusini wanufaika na bwawa la kijamii

  • | KBC Video
    36 views

    Wakazi wa kaunti ndogo ya Kajiado kusini wanaoishi karibu na mbuga ya kitaifa ya Tsavo mashariki wamenufaika na kisima cha jamii ili kuzuia mzozo kati ya binadamu na wanyama pori kuhusiana na maji .Kwa miaka mingi ,wanyamapori wamekuwa wakirandaranda katika maeneo ya makazi wakitafuta maji ambayo ni adimu na hivyo kuchochea mzozo na wenyeji hali ambayo imesababisha vifo na majeraha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive