Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kapomboi wakabiliwa na hatari ya magonjwa baada ya mafuriko kuzamisha makazi yao

  • | Citizen TV
    699 views
    Duration: 2:36
    Mamia ya watu walioathirika na mafuriko katika eneo la Kapomboi kaunti ya Trans Nzoia sasa wanakabiliwa na hatari ya lipuko wa magonjwa. Wakazi hao wamelazimika kuishi kwenye nyumba zilizojaa maji taka na matope kwa kukosa eneo mbadala la kuhamia baada ya nyumba zao kufurika