- 803 viewsDuration: 3:49Viongozi wa kanisa na baadhi ya viongozi wa kisiasa wanahimiza amani na maridhiano wakati wa kampeni za uchaguzi ndogo katika eneo bunge la kasipul kaunti ya Homa Bay. Hii inafuatia makabiliano yaliyoshuhudiwa katika eneo la opondo ambapo vijana wawili waliuwawa.