Wakazi wa Kimbimbi, Kirinyaga wawasuta wanasiasa

  • | KBC Video
    90 views

    Wakazi wa eneo la Kimbimbi katika kaunti ya Kirinyaga wamewataka wanasiasa kukoma kuingilia shughuli katika hospitali ya Kimbimbi huku kukiwa na madai kuwa baadhi ya wanasiasa wanatumia suala la huduma za afya kwa umma kujitafutia umaarufu kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 .Wakazi hao walielezea kuridhika kwao na huduma katika hospitali hiyo wakipuuzilia mbali madai kuwa utendakazi umedidimia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive