5 Nov 2025 1:52 pm | Citizen TV 1,049 views Duration: 2:31 Wakazi wa Lamu wamepinga vikali hatua ya serikali ya kutaka kubinafsisha fukwe za bahari na visiwa vya Lamu. Wakazi hao wanaishinikiza serikali kuboresha miundo msingi ya baharini ili kuinua uchumi wa Lamu