Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Maralal wapata afueni

  • | KBC Video
    69 views
    Duration: 1:41
    Wizara ya maji imewahakikishia wakazi wa mji waMaralal katika kaunti ya Samburu kwamba tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji litatatuliwa hivi karibuni. Hii inafuatia mradi wa ujenzi wa bwawa la Yamo ambalo serikali inasema litakamilika mwishoni mwa mwaka.Akiongea wakati wa ziara ya ukaguzi wa bwawa hilo, waziri wa maji Eric Muuga aliwahakikishia wakazi kujitolea kwa serikali kuhakikisha ujenzi huo unakamilishwa ilivyopangwa na akawataka kuwa na subira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News