Wakazi wa mji wa Lodwar wamelalamikia kukatizia umeme kiholela

  • | Citizen TV
    131 views

    Wakazi wa mji wa Lodwar kaunti ya Turkana wamelalamikia kampuni ya Kenya Power Kwa kuwakatizia umeme kiholela nyakati za mchana na usiku.