Wakazi wa Nyakach wanalalamikia kukithiri kwa uhalifu

  • | Citizen TV
    261 views

    Ukosefu wa usalama umewakosesha amani wakazi wa eneo la Upper Nyakach huku wezi wa mifugo wakiwahangaisha na kuwauwa watu wawili. Wakazi hao wanadai kuw apolisi wanashirikiana na wezi hao na ndio sababu kuu ya visa hivyo kukosa kudhibitiwa. na kama anavyoarifu laura otieno, vijiji vitatu eneo hilo vimeathirika na visa hivyo huku wakazi wakidai kuwa baadhi ya wahalifu wanawatishia maisha