Wakazi wa Ruiru wang'oa ua lililokuwa limewekwa kwa ardhi ya umma

  • | KBC Video
    30 views

    Wakazi wa Gitambaya katika eneobunge la Ruiru kaunti ya Kiambu , wamebomoa ua unaodaiwa kujengwa kwenye kipande cha ardhi ambacho wanasema kuwa kinalengwa na wanyakuzi wa ardhi .Kipande hicho cha ardhi kilichoko katika mtaa wa Fort Jesus,karibu na barabara ya kando, kilikuwa kimezingirwa na ua wa mabati ambao ulibomolewa na wakazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive