Wakazi wa Trans Nzoia wataka viongozi watimize ahadi

  • | Citizen TV
    108 views

    Huku Wanasiasa wakionekana kutoa matamshi yanayoashiria kuanza kwa kampeni za siasa za mwaka wa 2027, wakazi na baadhi ya viongozi katika kaunti ya Trans Nzoia wamewarai wanasiasa kusitisha siasa za mapema na badala yake kuwafanyia kazi wananchi