Wakazi waliofurushwa kutoka uwanja wa ndege wadai haki

  • | Citizen TV
    116 views

    Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) imeanza uchunguzi kuhusu malalamishi ya wenyeji waliofurushwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Malindi