11 Nov 2025 1:16 pm | Citizen TV 274 views Duration: 1:23 Wakazi wa maeno ya Nguni Nuu na Mutitu huko Mwingi kaunti ya Kitui wamemtaka rais William Ruto kuingilia kati kwenye ujezi wa daraja la Enziu ambalo kazi yake imekuwa ikiendezwa polepole.