Wakazi wapanda migomba barabarani huko Nubia, Kisii

  • | Citizen TV
    278 views

    Wakazi wa eneo la Nubia kaunti ya Kisii waliandamana kulalamikia ubovu wa barabara moja eneo hilo ambayo imekuwa kizingiti cha huduma za uchukuzi