Wakazi wateketeza nyumba ya mshukiwa wa mauaji ya daktari Iten

  • | KBC Video
    671 views

    Wakazi wenye hasira walivamia na kuteketeza nyumba ya mshukiwa mkuu wa mauaji ya aliyekuwa daktari wa meno katika hospitali ya matibabu maalum ya Iten Simion Cheboi ambaye mwili wake ulipatikana jana saa moja unusu jioni ukiwa umetupwa kwenye msitu wa Anin.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive