Wakazi wenye hasira wakabiliana na polisi, Nakuru

  • | Citizen TV
    3,925 views

    Wanafunzi kadhaa walizimia baada ya kuvuta gesi ya vitoa machozi pale polisi na waandamanaji walipokabiliana kwa siku ya tano sasa katika mitaa ya bondeni, kivumbini, flamingo, manyani na lakeview kaunti ya Nakuru. Hali ya mshikemshike ilitanda kwa zaidi ya saa sita huku polisi na wandamanaji wakikabiliana.