Wakenya 129 wakwama mpaka wa Myanmar Thailand

  • | Citizen TV
    327 views

    Wakenya 129 waliokwama kwenye mpaka wa Myanmar na Thailand wanaomba msaada, wakihofia waasi watawarejesha kwa walanguzi wa binadamu, iwapo serikali haitachukua hatua za haraka. Hata hivyo, balozi wa Kenya nchini Thailand, Kiptiness, Kimwole amesema huenda ikachukua muda mrefu kuwaondoa watu hao