Wakenya 78 waionusuriwa kutoka Myanmar warejeshwa nchini Kenya

  • | KBC Video
    317 views

    Zaidi ya Kenya 78 walionusuriwa kutoka Myanmar kufuatia kashfa ya ajira wamewasili nchini. Akiwalaki katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta,katibu wa masuala ya kigeni Roseline Njogu alisema watapewa ushauri nasaha na huduma za matibabu kabla ya kuungana na jamaa zao. Pia aliwahimiza wakenya wengine waliokwama nchini Thailand kuwasiliana na ubalozi wa Kenya jijini Bangkok. Juhudi za Kurejeshwa kwao nchini ziliongozwa na ubalozi wa kenya nchini Thailand.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive