Wakenya wajitokeze kwa uchunguzi wa mapema wa Saratani ya mlango wa uzazi

  • | KBC Video
    8 views

    Wakenya wameshauriwa kujitokeza kwa uchunguzi wa mapema wa saratani ya mlango wa uzazi. Akiongea katika eneo la Mumbuni kaunti ya Machakos wakati wa siku ya uhamasisho kuhusu saratani ya njia ya uzazi, mkurugenzi wa afya katika kaunti ya Machakos Wanyaga Mwaniki alisema uchunguzi wa mapema utabaini mapema kiwango cha ugonjwa huo na kufanikisha matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive