Wakulima Siaya watunza punda kwa bima ili kujikinga na maradhi

  • | NTV Video
    243 views

    Kwa wengi Punda ni mnyama wa kawaida ambaye maisha yake hayana thamani sana ikilinganishwa na mifugo wengine kama Ng’ombe, Mbuzi na Kondoo. Aghalabu, Punda hawa huwa wagonjwa na wenyewe huwaachilia kufa au kuwauza. Lakini, katika Kaunti ya Siaya, kuna baadhi ya wakulima ambao wametunza punda kiasi ya kuchukua bima ili kuwalinda dhidi ya maradhi mbalimbali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya