Wakenya waliorejea nchini waelezea mateso waliyopitia nchini Myanmar

  • | Citizen TV
    1,730 views

    Wakenya ambao walijikuta nchini Myanmar chini ya walaghai wa mtandao wanasimulia mateso waliyopitia nchini humo. Wakenya hao wengi wakiwa vijana wadogo wanasema walidang’anywa kuwa wangeenda nchini Thailand kufanya kazi na kujipatia riziki, yote yakigeuka kuwa ulaghai. Mwanahabari wetu emily chebet alizungumza na baadhi ya vijana hao ambao walirejea kutoka myanmar na kuandaa taarifa ifuatayo.