Wakenya wamuuliza maswali kuhusu hali ya uchumi

  • | Citizen TV
    753 views

    Wakenya walitumia fursa ya mkutano wao na waziri wa fedha John Mbadi katika uwanja wa Jevanjee leo, kueleza ghadhabu zao kuhusu ushuru ambao wanakatwa na fedha hizo zinavyotumika