Wakenya watakiwa kuwakumbatia wafungwa waliokamilisha vifungo

  • | KBC Video
    9 views

    Wakenya wanahimizwa kuwa wakarimu kwa wafungwa wanaporejeea katika jamii baada ya kutumikia vifungo vyao gerezani Afisa mkuu wa gereza la Busia Everlyn Papa amesema wafungwa hukabiliwa na wakati mgumu wakijaribu kurejelea maisha ya kawaida kwani hutazamiwa na watu wengi kuwa wahalifu na sio watu ambao hawajarekebika. Everlyn aliyezungumza katika mahakama ya Busia wakati wa siku ya kutangamana na wafungwa aliongeza kuwa wafungwa wengi waliorekebisha mienendo yao wamekuwa wenye manufaa baada ya kupata mafunzo na ushauri wakiwa gerezani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive