Wakenya waukaribisha mwaka mpya kwa mbwembwe

  • | Citizen TV
    1,926 views

    Fataki zilisheheni angani pamoja na nyimbo kwenye hafla za kuuaga mwaka wa 2024 na kuukaribisha mwaka wa 2025. Wakenya walijumuika makanisani na katika kumbi za burudani kuukaribisha mwaka mpya.