Wakereketwa, waandamanaji wakamatwa jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    6,489 views

    Maandamano yaliyopangwa kufanyika jijini Nairobi kuwakumbuka vijana waliofariki na kujeruhiwa kwenye maandamano yametibuka mapema hii leo. Maandamano haya yaliyofanyika mwezi mmoja baada ya vijana waandamanaji kuvamia bunge yaligeuka kuwa mvutano kati ya wanaharakati na polisi. Na kama Willy Lusige anavyoarifu, haya yanajiri huku tume ya kutete haki za kibinaadam ya KNCHR ikiripoti kuwa jumla ya watu 60 waliuwawa tangu maandamano kuanza