Wakimbizi waandamana Kakuma

  • | Citizen TV
    540 views

    Watu wanne wanauguza majeraha ya risasi baada ya polisi kukabiliana na waandamanaji kutoka kambi za wakimbizi za Kakuma Na Kalobeyei huko Turkana. Maelfu ya wakimbizi wanaoishi katika kambi hizo waliandamana kulalamikia kupunguzwa kwa kiwango cha chakula mbali na ukosefu wa maji safi Kambini.