Wakongwe wa Kenya wailaza timu ya ufaransa 1-0

  • | Citizen TV
    716 views

    Wakongwe kutoka kenya walipata ushindi muhimu katika mechi yao dhidi ya Ufaransa katika mchuano unaoendelea nchini Afrika Kusini. Kina mama hao walishangaa kwa kupata nafasi ya kucheza na wakongwe kutoka Marekani na mataifa mengine ya kigeni. Kwa mujibu wa wakongwe hao, kucheza kandanda ya ulimwengu ni ndoto iliyotimia. John Wanyama yuko nao Afrika Kusini na anasimulia zaidi......