Wakulima katika kaunti ya Trans Nzoia waingiwa na wasiwasi kuhusu bei duni ya mahindi

  • | Citizen TV
    366 views

    Wakulima wa mahindi katika kaunti ya Transnzoia wana wasiwasi kuhusu bei ya mahindi. Kwa upande mmoja wanatarajia mavuno tele ya takribani magunia millioni saba, lakini kwa upande mwingine serikali iko tayari kununua tu magunia milioni moja. Na kama anavyotuarifu Collins Shitiabayi kucheleweshwa kufunguliwa kwa maghala ya NCPB pia kunasababisha wakulima kuuza mazao yao kwa bei ya chini