Wakulima na wafanyibiashara wa miraa wateta kuhusu madalali wanaoyumbisha soko

  • | Citizen TV
    304 views

    Wakulima na wafanyibiashara kutoka kaunti ya Meru hasa eneo la Igembe ambako zao la iraa linakuzwa, wamezidi kupata hasara kutokana na madalali wanaoyumbisha soko hilo.