Wakulima wa chai Bonchari walalamikia bonasi ya chini

  • | Citizen TV
    97 views

    Wakulima wa majani chai kutoka eneo la Bonchari ni wa hivi punde kulalamikia bei duni ya marupurupu yao ya zao la majani chai ya kila mwaka. Wengi wanasema bonasi yao imeshuka kutoka shilingi 25 hadi shilingi 20 licha ya masaibu na hali ngumu ya uchumi unaozidi kuwazonga kila uchao. Sasa tunaungana naye Chrispine Otieno na mengi zaidi kutoka Bonchari.