- 149 viewsDuration: 2:03Baadhi ya viongozi wa Nandi wameitaka Mamlaka ya Mazao ya Chai Nchini (KTDA) kuanzisha mbinu za kisasa za kisayansi katika upimaji wa ubora wa chai kwenye mnada, wakisema mfumo wa zamani wa kuonja chai hauna uwazi na kwamba unawanyanyasa wakulima.