Wakulima wanadai mabwanyenye wanapendelewa Eldoret

  • | Citizen TV
    20 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Uasin Gishu wanalilia ukosefu wa mbolea katika ghala kuu la Eldoret huku wengi wakihofia kuchelewa kwa upanzi