Wakulima Wanadai Uwazi Katika Uchaguzi Katika Bodi Ya Mumias

  • | TV 47
    28 views

    Wakulima Wanadai Uwazi Katika Uchaguzi Katika Bodi Ya Mumias

    Bodi ya muda ya sukari nchini imefanya mkutano wa kutoa maoni na wakulima wa miwa na wasimamizi wa kiwanda cha sukari cha Mumias ili kujadili uchaguzi wa wawakilishi wa wakulima na viwanda katika bodi hiyo na Sheria mpya ya Sukari ya mwaka 2024.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __