Wakulima washauriwa kuwa makini wakinunua mbegu

  • | Citizen TV
    105 views

    Kadiri msimu wa upanzi unavyokaribia kukamilika, wakulima wametakiwa kuwa waangalifu kuhusu mbegu ghushi zinazouzwa na matapeli