10 Nov 2025 10:23 am | Citizen TV 296 views Duration: 1:52 Baadhi ya walimu wa sekondari msingi kaunti ya murang'a wametishia kugoma na kusabaratisha masomo iwapo hawataajiriwa na wizara ya elimu wakilalamika kwamba wanafanya kazi kwa kandarasi na kupokea malipo duni.