Walimu wakuu waonywa wasiwafukuze watoto shuleni

  • | KBC Video
    36 views

    Serikali imetoa shilingi Bilioni 19 kwa Shule za Sekondari-Msingi huku Waziri wa Elimu Julius Migosi akionya walimu wakuu dhidi ya kuwaagiza wanafunzi kurejea nyumbani kwa kukosa karo. Migosi ambaye alikuwa Mombasa alisema shilingi bilioni 28 za ziada zitatolewa kwa shule katika muda wa wiki mbili zijazo na kufikisha jumla ya fedha hizo kuwa shilingi bilioni 48.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive