- 457 viewsDuration: 2:26Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari msingi wamepinga hatua ya walimu wa shule za sekondari msingi kujisimamia. Mwenyekiti wa muungano wa walimu wa shule za msingi fuad ali anasema wamefaulu kukamilisha vyema mitihani wa gredi ya 9 ambayo ni ishara tosha kuwa kila kitu ki shwari chini yao. Wakati huo huo, baadhi ya walimu wanapinga ripoti ya serikali kuhusu shule ghushi.