Walimu washikilia watagoma kuanzia Jumatatu

  • | Citizen TV
    858 views

    Huenda shughuli za masomo zikatatizika kuanzia jumatatu ijayo, baada ya mazungumzo kati ya vyama vya waalimu na mwajiri wao TSC kugonga mwamba. Na japo vyama vya KNUT na KUPPET vimesisitiza kuwa wanachama wao hawatarejea shuleni kwa muhula wa tatu, TSC imewataka walimu wote kurejea daradani na kuwa masomo yataendelea.