'Walinambia nimerogwa kisa kuzaa watoto wenye changamoto'

  • | BBC Swahili
    678 views
    Susan ni mwalimu wa sekondari jijini Dar es Salaam anajitambulisha kama shujaa wa kipekee, kutokana na kuwalea watoto wake watatu wenye maradhi tofauti akiwemo changamoto ya moyo, tatizo la kifafa na mwingine ambaye sasa ni marehemu aliyezaliwa na kichwa kikubwa na mgongo wazi. #bbcswahili #waridiwabbc #daresalaam Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw