Walinzi zaidi ya milioni-1.2 watarajiwa kuwa wanachama

  • | KBC Video
    16 views

    Mashirika ya kibinafsi ya usalama nchini Kenya yanaungana kuanzisha chama cha akiba na mikopo cha kitaifa cha National Service Walinzi Sacco, kinachotarajiwa kuzinduliwa mwezi Aprili. Chama hicho kitatoa fursa kwa walinzi zaidi ya milioni 1.2 ili kuwapa mikopo kwa ajili ya kujiendeleza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive