Wanachama 4,219 Kutoka shamba la Imbirikani wanufaika na shilingi million 21

  • | Citizen TV
    349 views

    Wanachama 4,219 Kutoka shamba la Imbirikani wamenufaika na shilingi million 21M kutokana na juhudi zao za kuwalinda wanyapori na kutunza mazingira kwa kutenga sehemu ya shamba lao kwa shughuli za uhifadhi.Kwenye hafla ya kutoa Hundi ya fedha hizo katika eneo la Isinet waliozungumza wanasema hatua hiyo imesaidia pakubwa kupunguza migogoro ya mara kwa mara kati ya wanyamapori na binadamu.