Wanadai kaunti ya Kajiado haijawalipa kwa mwaka mmoja

  • | Citizen TV
    68 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado imetenga shilingi milioni 40 za malipo ya wahudumu wa afya mashinani