Wanafunzi-4 wa Kenya watia fora kwenye somo la Hisabati

  • | KBC Video
    37 views

    Wanafunzi wanne waliobobea kwenye shindano la hisabati la African Olympiad wamepata ufadhili wa masomo wa miaka mitatu chini ya mfumo wa elimu wa Cambridge. Wanafunzi hao watawakilisha Kenya kwenye shindano la African Olumpiad nchini Rwanda ambapo nchi sita zitashiriki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive