- 89 viewsWanafunzi kutoka nje ya Marekani wanaotaka kusoma katika taifa hili lazima waombe VISA ya F- 1 kupitia wizara ya mambo ya nje. VISA hiyo inaruhusu wanafunzi kuishi Marekani wakati wanasoma. Ripoti ya Julai 2023 kutoka viongozi wa ushirika wa elimu ya juu iligundua kwamba wanafunzi wa Afrika wanakataliwa VISA hii kwa kiwango kikubwa kuliko wale wanaotoka kwenye mabara mengine. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wanafunzi wa Afrika wadaiwa kukataliwa visa za kwenda kusoma Marekani
- - Suagar Boy ››
- 30 Nov 2024 - Ugandan opposition leader was hounded out of Nairobi and court-martialed on charges of carrying an illegal gun.
- 30 Nov 2024 - Raila to appear in a televised debate alongside his rivals for the AUC chairmanship election.
- 30 Nov 2024 - The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
- 30 Nov 2024 - Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
- 30 Nov 2024 - European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
- 30 Nov 2024 - State embarks on door-to-door drive to shore up SHA registration
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - NHIF staff receive redeployment letters
- 30 Nov 2024 - Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans