Wanafunzi wa chuo cha Nairobi wafika ofisi za HELB

  • | Citizen TV
    1,156 views

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu - HELB- imetoa shilingi bilioni 3.1 kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wa pili wa vyuo vikuu. Pesa hizo zimetolewa baada ya wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana hadi katika makao makuu ya bodi hiyo. HELB imesema pesa hizo zilichelewa kwa sababu mahakama iliharamisha mfumo mpya wa ufadhili wa wanafunzi.