- 2,494 viewsDuration: 8:35Wanafunzi wa chuo cha Moi hii leo wanaandamana jijini eldoret kulalamikia mgomo wa wahadhiri unaoendelea katika vyuo vikuu vya umma kote nchini. Wanafunzi hao wanasema wamelipa karo na hawataendelea kuvumilia na kupoteza muda wao chuoni ilihali wanagharamikia hasara ya chakula na kodi ya nyumba kila wakati. John Wanyama anaunga nasi mubashara kutoka jijini Eldoret kwa mengi zaidi